Jambazi akamatwa Kimboka, Buguruni
HALI imekua ya Nderemo kwa wakazi wa Majumbasita , Karakata na Stakishari kufuatia kutiwa Mbaroni kwa Jambazi wa kizazi kipya ajulikanaye kama RAMBO.jina lake halisi ni ABDUL CHATA mkazi wa karakata, airport, jijini ilala, dar es salaam, Tanzania
KIJANA huyo ambaye amekua tishio kwa maisha ya binadamu na ustawi wa watu maeneo hayo alikamatwa katika purukushani zilizotokea Kimboka BaR Maeneo ya Buguruni usiku.



No comments:
Post a Comment