EXCLUSIVE!!..mambo vipi wadau!!..sasa hii ni baada ya kutokea tatizo la
kiufundi kweye link ya nyimbo mpya ya Climax BIBO iitwayo ''
WE DADA'' ambayo ilikosewa na samahani sana kwa usumbufu uliojitokeza..sasa hii ndio link mpyaaaaa yenye hiyo nyimbo yenyewe ya ''
WE DADA'' kutoka kwa Climax BIBO wa GHETO BOY pamoja na UJUZI...anaomba sana support yenu na naomba tumsaidie..SALUTEEEEE!!!...
No comments:
Post a Comment