hizi ndizo sababu za kwanini wanaume kibao wanapenda kumshobokea jokate mwegelo! anayefanya vizuri katika mambo mengi sana nchini Jokate Mwegelo
amezungumza na kutaja Mambo manne yanayomfanya apendwe sana na wanaume
wengi hapa nchini. 1. Kujiamini Hii
ndi sababu kubwa ya kwanza aliyoitaja jokate. Ansema hamna kitu
kinachowavutia watu, hasa wananume kama kujiamini. Mwanaume anapenda
msichana anayejiamini. Zaidi ya yote hamna kitukinachosema kuwa “I’m sexy” Zaidi ya mwanamke anayejiamini 2. Kujitegemea Hii
ni kama sababu ya kwanza hapo juu, Jokate anasema hamna kitu
kinachowaboa wanaume kama mwanamke ambaye anapenda vitu vya kupewa.
Ukimuonesha mwanaume wewe unapenda kutafuta vya kwako basi jua
atakupenda sana 3. Kupendeza Jokate
anasema ni muhimu kwa wadada kuvaa nguo nzuri ambazo zitakupendeza
kulingana na mwili wako hasa hasa nguo zenye rangi ya kuonekana. 4. Tabasamu Tabasamu kila saa kwani tabasamu linakufanya unaonekana mzuri Zaidi.
No comments:
Post a Comment