“Masharobaro hawana nafasi
kwangu, kwa sababu hawafikirii maisha kabisa, hata mwanaume atakayenioa
nafikiri atanipita zaidi ya miaka kumi, hapo ndiyo itakuwa sawa tofauti
na hivyo sitaki masharobaro,” alisema Lulu.
Akizungumza na mwandishi wa habari
hii, Lulu alisema akiwa na mwanaume anapenda ampite angalau miaka kumi
na kuendelea kwa kuwa anakuwa ni mtu mzima na muelewa siyo masharobaro
kila wakati wanafikiria jinsi gani wataonekana smati na si kufikiria
maisha

No comments:
Post a Comment