airport jogging

mavazi

aus521

aus9

Monday, November 3, 2014

MASTAA 20 WA TANZANIA WENYE USHAWISHI MKUBWA KWA MUJIBU WA USWAZI.COM

  Uswazi moja ya mitandao maarufu ya burudani nchini imetoa orodha yake ya mastaa 20 wenye ushawishi mkubwa(20 most influential stars). mastaa hao wanatoka katika urembo, mitindo, uigizaji na muziki huku Wema Sepetu akiwa ndiye kinara kwa kushika namba 1. Wengine ni Masanja, Vanesa Mdee, Madam Rita, Jacob Stephen(JB), na wengineo. kwa msaada zaidi ingia hapa uone list hiyo kwa mujibu wa mtandao huo www.uswazi.com

No comments:

Post a Comment