Wakazi wa Mbezi Luis, wakimshambulia mchawi huyo.
MKE wa marehemu bilionea Suleiman Muhema, Zihija Muhema ametoboa siri kuhusiana na kifo cha mume wake aliyekutwa amefariki dunia kwa kujipiga risasi akiwa ndani ya gari lake Kisarawe, Pwani.
M. Mganga pamoja na Mkuu wa kituo wote hawakuwapo kituoni wakati Kamanda wa kipolisi wa Kinondoni, Elias Kalinga hakuweza kupatikana ili kudhibitisha tukio hilokutokana na namba yake ya simu kuita bila kupokelewa.
Hata hivyo kutokana na vurugu zilizokuwapo eneo hilo la tukio, ambapo wananchi wa eneo hilo walikuwa wanataka kumuua, kijana huyo alishindwa hata kutaja jina lake kutokana na kipigo alichokuwa anakipata kutoka kwao.
BUTWAA: Wazungu wakiwa wamepigwa butwaa na raia wema mara baaada ya tukio hilo
No comments:
Post a Comment