PRODYUZA: WEMA ALITAKA NIWE KUWADI
Na Stori: Shakoor JongoBAADA
ya kudaiwa kufanya ngono katika magari ya Kampuni ya Endless Fame
inayoongozwa na Wema Issac Sepetu, Prodyuza, Rashid Mohammed ‘Chid
Classic’ amefunguka na kusema chanzo cha yote ni mshahara na ukuwadi
ndani ya kampuni hiyo wala siyo uzinzi, Amani linakujuza.
No comments:
Post a Comment