airport jogging

mavazi

aus521

aus9

Monday, November 24, 2014

TAZAMA PICHA ZA HUYU MSANII ALIYEKUBALI KUREKODI S3XY TAPE BILA MALIPO YOYOTE YALE (BURE!!!)

Hivi karibuni rapper Mystical alisema kuwa kama muziki ukimshinda basi ataingia kwenye uigizaji wa filamu za ngono na kumtaja staa wa movie hizo ambaye angependa kufanya naye kuwa ni Pinky.

Nae Pinky hakucherewa alijibu wakati akihojiwa na mtandao wa 
TMZ
 na kusema kuwa nitafurahi kufanya naye movie ya ngono kwaajili ya kuweka kwenye website yangu.

Hata hivyo amesema hatamlipa chochote kwakuwa Mystical bado ni mchanga kwenye industry hiyo hata kama akiwa mzuri vipi kitandani.

No comments:

Post a Comment