UMESHAWAHI JIULIZA KWANINI BAADHI YA DADA ZETU WAKIPIGA PICHA WANAGEUZA MAKALIO YAO? JIBU HILI HAPA

Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...
Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni
CONFIDENCE...Mwanaume anapoangalia Sifa za nani anapaswa kuwa ubavu wake
anaangalia kwanza Sifa Hii...Utashangaa wenzio wote wanawezaje na wewe
unashindwa nini,Jibu ndio hiloMakalio Makubwa bila Confidence ni sawa na
Al Shabaab bila Silaha...Inashangaza mwanamke na akili zake anapoteza
muda,anajivunia Shape,''Oh nimebarikiwa,Nimejazia,Nna shape ya Ukwee'
wakati kichwani zero ana akili za moto kama uji wa uleziHayo Makalio
zaidi ya kukalia makochi yangu na kuyazeesha Mapema kwa uzito usio na
Maana kuna lipi la zaidi...
MIUJIZI YA KARNE: SHEKH SHARIF KHAMIS WA TANZANIA AONYESHA MIUJIZA NDANI YA MELI ..MANAHODHA PAMOJA NA ABIRIA WADUWAA
.jpg)
Shekh Sharif Khamis hapa ndipo alipowaacha watu midomo wazi na mshangao baada ya kuendesha Meli wakati hajawahi kusomea urubani.
Maelfu ya wakazi wa mji wa Goma wakiwa kwenye muhadhara kumsikiliza miujiza ya uponyaji wa dua za Shekh Sharif Khamis.
Na Sharifa Abdalah- Bukavu Kongo
Ukisikia
hizi habari kwenye radio unaweza usiamini unaweza ukadhani ni
kichekesho ama hadithi lakini ni kweli yametokea, kijana wa kitanzania
Shekh Sharif Khamis ambae kadri anavyokuwa kiumri ndipo anazidi kufanya
miujiza ya kipekee na ya kuogopesha.
Akiongea na Maskanibongotz mwandishi wetu aliyeko mji wa Bukavu Shekh
...
LULU MICHAEL WA BONGO:SITUMII NGUVU NYINGI KATIKA MAPENZI

Mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipozi.
MASTAA wana
mambo! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa kali
ya aina yake kwa kusema kamwe hatumii nguvu nyingi kwenye mapenzi kwa
sababu yanapoteza
muda
bila sababu za msingi bora nguvu zake azitunze hadi pale atakapokuwa
akijifungua.Akimwaga cheche mbele ya mwanahabari wetu, Lulu alisema siku
hizi wanaume wengi wanawafanya wasichana watumie nguvu kutetea penzi
kutokana na migogoro isiyokuwa na msingi.“Bora
nguvu zangu nizihifadhi za kuendea leba kuliko kuzipoteza katika
mapenzi kwani hayo mambo yamepitwa na wakati kabisa,” alisema...
KUTANA NA NABII YASPI AWAPONYA WAGONJWA KWA KUTUMIA PAFYUMU DAR
Nabii Yaspi akiibariki moja ya pafyumu hizo.Hapa akiwapulizia wagonjwa mbalimbali.
NABII wa
Kanisa la The Revelation Church lililopo Buza-Kipera jijini Dar,Yaspi
Paul Bendera, amefanya miujiza ya aina yake kwa kuwatibu watu kwa
kutumia pafyumu ambapo watu wenye magonjwa mbalimbali walidai kupona kwa
kupuliziwa pafyumu hizo.
Tukio hilo lilijiri Jumapili ya Novemba 2 mwaka huu ambapo kwa mujibu wa
Nabii Yaspi aliwaagiza wagonjwa wafike kanisani hapo na pafyumu
kanisani hapo ili azibariki na kuwa dawa na kinga yao kwa magonjwa
mbalimbali yanayowakabili1Ad Options
Waandishi wetu waliokuwa kanisani hapo walishuhudia umati wa...
MAMA WEMA AFANYA SHEREHE, KISA KUTETEREKA KWA PENZI LA DIAMOND NA WEMA

CHEREKO chereko! Siku chache baada ya supastaa ‘grade one’ wa sinema za
Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ kummwaga King of Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond’, mama mzazi wa mwigizaji huyo, Mariam Sepetu ameangusha
sherehe ya nguvu kama ishara ya kuonesha ‘amekunwa’ na tukio hilo,
Ijumaa Wikienda linashuka nayo mstari kwa mstari.
Supastaa ‘grade one’ wa sinema za Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ akipozi.
TUJIUNGE NA CHANZO Kwa mujibu wa chanzo makini,
kutokana na mama huyo kutobariki uchumba wa mwanaye na Diamond ambaye
pia anajulikana kwa jina la Dangote kwa muda mrefu, habari za uchumba
huo kuvunjika zilipochapishwa kwenye Gazeti la Ijumaa ‘Kubwa’...
SHILOLE NA NUH MZIWANDA MASHAKANI KUFUNGA NDOA, IMANI YAWATENGANISHA..
IMEGUNDULIKA
kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe
Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo
kutokana na kupishana imani.Ishu hiyo imejidhihirisha juzikati nyumbani
kwa wawili hao Mwananyamala-Manjunju jijini Dar, baada ya paparazi wetu
kuwaibukia na kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana
au la, msikie kwanza Nuh:
Staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, akiwa na mpenziwe Nuh Mziwanda.
“Mimi ninampenda Shilole kwa asilimia 100, ila siko tayari kubadili
dini kwa ajili yake maana kwetu ni wakristo na hapa naongea mama yangu ni mzee wa kanisa...
BETHIDEI YA MTOTO, MKE WA MTITU, DUDE AMKATISHA MAUNO MKEWE

Kazi ipo! Taarifa ikufikie
kwamba kutoka kwenye bonge la pati la bethidei ya mtoto na mke wa
mwigizaji, William Mtitu, staa wa Bongo Dar es Salaam, Kulwa Kikumba
‘Dude’ amejikuta akimkatisha mauno mkewe, Eva hadharani kitendo
kilichozua minong’ono mingi baada ya mwanamama huyo kufanya kweli hadi
jamaa akamwambia yatosha.
Mke wa mwigizaji, William Mtitu, Yovitha akiwa na mwanaye Jane.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na wanahabari
wetu lilijiri nyumbani kwa Mtitu, Kigogo jijini Dar ambapo Dude alikuwa
Master of Ceremony ‘MC’ wakati mke wa Mtitu, Yovitha na mwanaye Jane
walizaliwa tarehe inayofanana ya Oktoba 31.
Mwigizaji wa Bongo Muvi,...
MWANAMKE AISHI KINYUMBA NA WANAUME WAWILI KWA MIAKA NANE BILA KUTAMBUANA MBEYA
Juliana
Josia(22)kushoto anaedaiwa kuishi na wanaume wanaume wawili kwa zaidi
ya miaka 8 bila kutambuana akiwa na Mume wake halisi Rogers ofisini kwa
mtendaji
Juliana Josia(22)kushoto akiwa na barozi Dinde
Bwana Rogers akiongozana na baadhi ya viongozi wa mtaa kwenda kituo cha polisi
Mwanamke
mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Juliana Josia(22)amezua utata hivi
karibuni baada ya kugunduliwa akishi na wanaume wawili kwa muda wa miaka
minane bila wanaume hao wawili kujitambua.
Hayo
yalibainika katika kituo cha Polisi Kati Jijini Mbeya baada ya Mwanamke
huyo kudai kuporwa mtoto mgogoni jinsi ya kike...
Sitta: Kilichomkuta Jaji Warioba Jana Amejitakia Mwenyewe
.jpg)
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya
mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.
Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio
Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul
Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga
mkono Katiba pendekezwa.
Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa
kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana
pale Ubungo blue pearl.
Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie
wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta
ameendelea kusema watanzania...
Huyu ndie kijana wa CCM inayesemakana Kampiga Waziri Mkuu Mstafu Mzee Warioba na Chupa ya Maji Ubungo
.jpg)
Jambo la aibu na la kufedhehesha sana
limetokea leo katika mdahalo uliondaliwa na taasisi ya mwalimu
Nyerere,Ubungo. Katika mdahalo huo , vijana ambao mpaka sasa
hawajafahamika walisisima gafla wote kwa pamoja wakiwa na mabango
yanayopigia debe katiba inayopendekezwa na gafla fujo kubwa zikaibuka na
watu kuanza kupigana.
Kada wa CCM bwana Paul Makonda, pichani,
inasemekana alimpiga Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Mzee
Joseph Sinde Walioba kwa chupa ya maji. Hili ni jambo la kwanza la aibu
ya aina yake kutokea nchini kwa kijana mdogo kumpiga waziri mkuu wa
nchi na chupa ya maji. Tunatumai vyombo vya sheria...
Breaking News: Ngumi za Ibuka kwenye mdahalo mkubwa kujadili katiba inayopendekezwa

Mdahalo mkubwa ulioandaliwa na taasisi
ya Mwalimu Nyerere wakatishwa ghafla baada ya kuibuka ugomvi mkubwa.
Watu wasiofahamika walisimama na Mabango yaliokuwa yanaonyesha
kukubaliana na katiba inayopendekezwa wakati mwenyekiti wa Tume ya
mabadiliko ya katiba Waziri mkuu mstafu Jaji Warioba alipokuwa
anahitimisha hotuba yake kama mchangiaji wa kwanza.
Je ni Kweli CCM wameandaa watu kwenda kumzomea Warioba...
Jee, kitendo cha ITV Kuendelea Kumpa Airtime Jaji Warioba Sio uchochezi Katiba Mpya Ikataliwe?
.jpg)
Namsikiliza kwa makini sana aliyekuwa
Mwenyekiti wa Tume ya Kukusanya Maoni, Jaji Mstaafu, Joseph Warioba,
akiizungumzia mchakato wa kuipigia kura ya maoni, ama kuipitisha katiba
pendekezwa au kuikataa.
Kwa vile baadhi ya maoni ya Tume ya
Warioba, yalipigwa chini, it is obvious Jaji Warioba, atakuwa ni
mpinzani number 1 wa katiba pendekezwa, kwa kupuuza maoni ya wananchi,
yaliyopendekezwa na Tume yake.
Kwa vile baada tuu ya kuwasilisha rasmi
ile rasimu ya Tume ya Kukusanya Maoni, kwenye Bunge Maalum la Katiba,
Tume ya Warioba, ilivunjwa rasmi!, hivyo as of now, Jaji Warioba, sio
authority tena katika mchakato huu wa katiba mpya!,...
Jee, kitendo cha ITV Kuendelea Kumpa Airtime Jaji Warioba Sio uchochezi Katiba Mpya Ikataliwe?
.jpg)
Namsikiliza kwa makini sana aliyekuwa
Mwenyekiti wa Tume ya Kukusanya Maoni, Jaji Mstaafu, Joseph Warioba,
akiizungumzia mchakato wa kuipigia kura ya maoni, ama kuipitisha katiba
pendekezwa au kuikataa.
Kwa vile baadhi ya maoni ya Tume ya
Warioba, yalipigwa chini, it is obvious Jaji Warioba, atakuwa ni
mpinzani number 1 wa katiba pendekezwa, kwa kupuuza maoni ya wananchi,
yaliyopendekezwa na Tume yake.
Kwa vile baada tuu ya kuwasilisha rasmi
ile rasimu ya Tume ya Kukusanya Maoni, kwenye Bunge Maalum la Katiba,
Tume ya Warioba, ilivunjwa rasmi!, hivyo as of now, Jaji Warioba, sio
authority tena katika mchakato huu wa katiba mpya!,...



No comments:
Post a Comment