airport jogging

mavazi

aus521

aus9

Wednesday, March 18, 2015

Posted by GLOBAL on March 16, 2015 at 3:00am View Blog Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amefunguka kuwa anaamini amepigwa ‘juju’ kutokana na kuugua ugonjwa ambao haukutambulika hospitalini. Akizungumza machache na paparazi wetu akiwa nyumbani kwake anapougulia maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Bozi alisema, anaamini amerogwa na wasanii wenzake wasiopenda maendeleo baada ya kupata dili la kucheza filamu katika Kundi la Kaole. “Roho inaniuma sana yaani ni jinsi gani wasanii tulivyokuwa hatupendani, ghafla tu nilipofika nyumbani baada ya kutokea Moro kwenye dili la kazi hali yangu ilibadilika, nikahisi kichwa kuniuma sana na maumivu makali tumboni, nilipoenda hospitali niliambiwa sina tatizo ikanilazimu nitafute mtaalamu na kuyabaini hayo maana lengo lao walitaka kunimaliza, nashukuru Mungu kwa sasa nimepata nafuu,” alisema Bozi. JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS Views: 1267 Tags: ijumaawikienda11 Like Share < Previous Post Next Post > Comment You need to be a member of Global Publishers to add comments! Join Global Publishers Comment by penina mwailunda on Monday Imani kama hizi mtu unazitoa wapi?? ina maana huwaamini wenzio? RSS Welcome to Global Publishers Sign Up or Sign In Or sign in with: NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO! TSN IMALASEKO GAME SHOPRITE MR PRICE SHOPPERS Hadithi za Shigongo THE BLOOD STAINED DRAFT- 89 Golden Tears (Machozi ya Dhahabu) - 52 The Traumatized Hero (Shujaa aliyejeruhiwa) - 18 True Love (Penzi la kweli) - 57 True Memories Of My Life (Kumbukumbu za Kweli za Maisha Ya Shigongo)-120 Forum ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI? Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 1 Reply 2 Likes naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na… JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI? Started by daniel paul in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 1 Reply 2 Likes JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA… MIUNDO MBINU TANZANIA Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 1 Reply 1 Like Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina… OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 1 Reply 2 Likes Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua… Tags: Okwi TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 5 Replies 1 Like Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji. Waliotupwa… Tags: SIASA POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE? Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 18 Replies 0 Likes Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe… Tags: VURUGU KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU? Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 32 Replies 3 Likes Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA! Tags: katiba, siasa JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA? Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 90 Replies 2 Likes Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya… Add a Discussion View All TOP NEWS WEEK HII More… Latest Activity Top News · Everything pikachuaa posted a status "http://worldholyspirit.org/index.php?mid=TWHSPhoto&document_srl=58842" 3 minutes ago 0 0 robinrubby posted a status "http://manycoresoft.co.kr/school/xe/index.php?mid=scschool_review&document_srl=2620905" 3 minutes ago 0 0 pikachuaa posted a status "http://worldholyspirit.org/index.php?mid=TWHSPhoto&document_srl=58842" 3 minutes ago 0 0 pikachuaa posted a status "http://worldholyspirit.org/index.php?mid=TWHSPhoto&document_srl=58842" 4 minutes ago 0 0 marychristan posted a status "http://www.mipszi.hu/forum/7852-kingsman-secret-service-online-free" 7 minutes ago 0 0 panditpronthey posted a status "http://racegaspr.com/index.php/component/k2/itemlist/user/24872" 8 minutes ago 0 0 robinrubby posted a status "http://manycoresoft.co.kr/school/xe/index.php?mid=scschool_review&document_srl=2620363" 8 minutes ago 0 0 marychristan posted a status "http://solarismovieso.com/watch-chappie-online-free/" 10 minutes ago 0 0 robinrubby posted a status "http://manycoresoft.co.kr/school/xe/index.php?mid=scschool_review&document_srl=2619657" 13 minutes ago 0 0 marychristan posted a status "http://www.mipszi.hu/forum/lvees-cinderella-full-2015-movie-free-online" 17 minutes ago 0 0 GLOBAL's 12 blog posts were featured CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO‏ WEMA AZUA TIMBWILI KISA ALI KIBA USIOMBE YAKUKUTE YALIYOMTOKEA MREMBO HUYU 9 more… 18 minutes ago GLOBAL posted blog posts CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO‏ IWE ISIWE!-4 BONDI, AUNTY LULU WAPASHANA 11 more… 19 minutes ago RSS


Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.

MSANII wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amefunguka kuwa anaamini amepigwa ‘juju’ kutokana na kuugua ugonjwa ambao haukutambulika hospitalini.
 
 Akizungumza machache na paparazi wetu akiwa nyumbani kwake anapougulia maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Bozi alisema, anaamini amerogwa na wasanii wenzake wasiopenda maendeleo baada ya kupata dili la kucheza filamu katika Kundi la Kaole.
“Roho inaniuma sana yaani ni jinsi gani wasanii tulivyokuwa hatupendani, ghafla tu nilipofika nyumbani baada ya kutokea Moro kwenye dili la kazi hali yangu ilibadilika, nikahisi kichwa kuniuma sana na maumivu makali tumboni, nilipoenda hospitali niliambiwa sina tatizo ikanilazimu nitafute mtaalamu na kuyabaini hayo maana lengo lao walitaka kunimaliza, nashukuru Mungu kwa sasa nimepata nafuu,” alisema Bozi.

No comments:

Post a Comment