airport jogging

mavazi

aus521

aus9

Monday, May 18, 2015

Stori ya Town…. picha 8 za gari jipya la mtoto wa Bhakresa

2
Mwandishi Bin Zubery http://bongostaz.blogspot.com ambae ndio alipata ruhusa ya kulipiga hili gari picha ameandika ‘Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England imeonekana leo Dar es Salaam lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa ambapo vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili.
1
8
7Kutoka Manchester mpaka Dar es salaam
3Kwenye picha hapa juu ni Dereva.
6Bin Zubery
5Unaambiwa ni ‘oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa’

4

No comments:

Post a Comment