airport jogging

mavazi

aus521

aus9

Wednesday, July 29, 2015

UTATA MPYA MTOTO WA DIAMOND


Utata mpya umeibuka wakati mama kijacho wa staa wa Bongo Fleva,  Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’,  akitarajiwa kujifungua muda wowote kutoka sasa, ishu ni juu ya uraia wa mtoto atakayezaliwa.

No comments:

Post a Comment