MAMA DIAMOND AMKIMBIA ZARI
KWELI
maisha si popote! Msemo huu wenye kinyume na ule usemao maisha ni
popote umedhihirika baada ya hivi karibuni mapaparazi wetu kutonywa
kuwa, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim amekuwa
akimkimbia mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘mama Tiffah’ ndani na kwenda
kukaa nje kutokana na Zari kujikita sana kwenye mitandao ya kijamii
hivyo kutokuwa na mawasiliano
No comments:
Post a Comment