
HUKU
kumbukumbu za tukio la uvamizi wa kigaidi lililosababisha mauaji ya
wanafunzi 147 wa Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya zikiwa bado
hazijafifia vichwani, hali ya ulinzi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
‘Mlimani’ inasababisha mguno kutokana na watu kupita ndani ya chuo hicho
bila ukaguzi
No comments:
Post a Comment