
Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtego
@aus9
MAMA mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa
amefunguka kuwa endapo urafiki wao na mama Lulu, Lucresia Karugila
ungeendelea, kuna siku angejikuta gerezani kwani angeweza kumfanyia kitu
kibaya.“Yaani namshukuru Mungu alivyotukosanisha maana alikuwa akitoa maneno ya hovyo ya kunitia hasira, akidai mwanangu hakuwa na akili, eti mwanaye Lulu ndiye mwenye akili ndiyo maana hakaukiwi pesa, wakati mwingine akinitukana na kunikashifu bila sababu,” alisema mama Kanumba.
No comments:
Post a Comment