Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary.
Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary ambaye pia ni mcheza
filamu, baada ya kujichubua na kubadili ngozi yake ameamua kuacha
mkorogo kutokana na marafiki kumuonya kila kukicha.Rafiki wa karibu na Maureen alisema kuwa sasa ameamua kuacha mkorogo kwani hakuna aliyekuwa akimsapoti kutokana na kujichubua kwake.“Yaani marafiki tumesababisha mpaka Maureen ameacha mkorogo na sasa amerudi kwenye ngozi yake ya zamani anapendeza na mvuto wake umerudi,” alisema rafiki huyo.

No comments:
Post a Comment