STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA
VIDEO Queen Asha Salum ‘Kidoa’ hivi karibuni ameibua maswali mengi mtandaoni baada ya kutupia picha akiwa ameonesha nguo ya ndani ambapo wengi wamemkejeli kwa picha hizo.
VIDEO Queen Asha Salum ‘Kidoa’ hivi karibuni ameibua maswali mengi mtandaoni baada ya kutupia picha akiwa ameonesha nguo ya ndani ambapo wengi wamemkejeli kwa picha hizo.
Mwenyewe alipozungumza na Ijumaa
Wikienda alisema kuwa, hajali watu wanavyomnanga kwa sababu yupo
kimasilahi zaidi kwani amelipwa mkwanja mrefu ambao unakidhi mahitaji
yake na anachojua yeye hajaonesha maungo yake bali anafanya matangazo ya
nguo aliyoionesha.
“Dah! Najua nimetukanwa sana lakini
watambue kuwa mimi ni Balozi wa EBM, kampuni ya nguo, wamenilipa mkwanja
mrefu na kila nguo inayotua kwenye mwili wangu ni matangazo sasa siwezi
kuwajali binadamu zaidi nikaacha masilahi, kikubwa sivunji sheria,”
alisema.

No comments:
Post a Comment