Kwa mujibu wa meneja wa Young Dee, Maximillian Rioba, rapper huyo amerejea tena kwenye matumizi ya dawa za kulevya.

Taarifa hiyo imekuja katika wakati ambao mashabiki wengi wa muziki
waliamini kuwa rapper huyo ameachana na matumizi ya unga, kama alivyoahidi mwaka uliopita alipozungumza na waandishi wa habari.

Young Dee akiwa na meneja wake Max mwanzilishi wa label ya MDB
No comments:
Post a Comment