Katika kutembelea mitandao tofauti leo nikakutana na picha hizi za star kutoka Bongo movie ambaye bado anaendelea kufanya vizuri kwenye ramani ya sanaa hasa katika movi Elizabeth Michael maarufu kama Lulu
Nikaona niziweke hapa ili wadau wa Shaddy classic kuziona picha hizi kwa urahisi endelea kuwa nasi siku zote zitazame picha hizi hapo chini



No comments:
Post a Comment