Usikate tamaa ni nyimbo kutoka kwa Kala Jeremiah ambayo imeachiwa leo tarehe 26 mwezi 11 ni miongoni kati mwa nyimbo ambazo ukisikiliza kuna kitu fulani utajifunza kifupi inakufanya upate matumaini kwa kile ukifanyacho
Mdau wa Shaddy Classic itazame video hii ya Kala Jeremiah hapa chini Asante kwa kuwa nasi endelea kuwa nas

No comments:
Post a Comment