airport jogging

mavazi

aus521

aus9

Monday, November 24, 2014

HAYA SASA AGNESS MASOGANGE AJA NA MPYA TENA KALI YA KUMALIZIA MWAKA

MREMBO aliyejizolea umaarufu katika video mbalimbali za wasanii Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hatarajii kurejea nyumbani hivyo mashabiki wake watamsubiri sana. 
Staa wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’.
Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Masogange alisema kuwa alivyoondoka nchini na kuelekea Afrika Kusini ameona baadhi ya vitu vyake vinamuendea sawa na maisha yake yanasonga mbele siku hadi siku na kwa kuwa ana uraia wa Afrika Kusini, hategemei kurudi hivi karibuni.
“Bongo kwa sasa wasubiri kwanza kwani kuna vitu muhimu sana nafanya huku na nikishakamilisha nitakuja Bongo kidogo kusalimia maana siku hizi si unajua ni wa hukuhuku,” alisema Masogange

No comments:

Post a Comment