airport jogging

mavazi

aus521

aus9

Monday, November 24, 2014

leo kumetokea vurungu za vibaka na baadhi ya askali kuuwawa....


watu wa tano wanasadikiwa kuwa wakufa baada ya kutokea kwa vurugu zinazo husisha vibaka ktk eneo la mbagara kongowe mzinga katika eneo la masnispaan ya temeke jijini Dar es salaam. Police wamethibitisha kutokea kwa vurugu hizo ingawa hakutoa taarifa kamili kwa hofia kuaribika kwa upelelezi wao na kuaidi watatoa taarifa kamili ya vurugu hizo leo.

No comments:

Post a Comment