Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza mafunzo ya
ulinzi shirikishi kwa vijana wa Mkoa huo,yaliyofanyika leo tarehe
20.06.2014 katika shule ya msingi Idudumio iliyopo tarafa ya Nyasa
wilaya ya Nzega.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akikabidhi zawadi
mbali mbali kwa vijana walioshiriki kwenye Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi.
No comments:
Post a Comment