Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi
(SACP), Leonard Paul (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira (kushoto) na
Mshauri wa Kampuni ya Mabibo, Kamala Stephen baada ya kufungua semina
hiyo katika Hoteli ya Top Life mjini Morogoro. Mshauri wa Kimataifa
wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira (katikati), akizungumza katika
semina hiyo.…
GPL
No comments:
Post a Comment