Rais
Kikwete ameweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro
wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia
(TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika
kipindi chake cha Urais.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
jana, Alhamisi, Agosti 21, 2014, ameweka historia nyingine katika ziara
yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli
ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni
mara yake ya kwanza kutumia
usafiri huo katika kipindi chake cha Urais
No comments:
Post a Comment