Mgombea urais wa Serikali ya awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, John Pombe Magufuli.
WOTE tunatambua kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kuvuka moja kati ya vikwazo vikubwa na hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia yake, kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
No comments:
Post a Comment