
Ni Obama kila kona! Muda wowote kuanzia leo wananchi wa Kenya watashuhudia kutua kwa Rais wa Marekani, Barack Hussein Obama, nchini humo huku stori kubwa ikiwa ni ulinzi uliowekwa kwa hofu ya kundi ‘haramu’ la ugaidi la Alshabaab, Ijumaa linakupeleka hadi kwa majirani zetu hao.
No comments:
Post a Comment