Askari wa Vikosi mbali mbali vya Ulinzi wakiwa katika uwanja wa Taifa
wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika sherehe za kumuaga Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania
Dk.Jakaya Mrisho Kikwete alipoagwa rasmi na Vikosi hivyo leo,[Picha na
Ikulu.]
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania
Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi la Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika uwanja wa Taifa wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kumuaga kwa kumaliza muda wake wa Urais leo.[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania
Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika uwanja wa
Taifa wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika sherehe za kuagwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania
Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (wan ne kushoto) akiwa na Viongozi wengine
wakisimama kupokea salamu ya heshma ya kwaride la Vikosi vya Ulinzi
wakati wimbo wa Taifa ulipopigwa katika uwanja wa Taifa wa Uhuru Jijini
Dar es Salaam katika sherehe za kuagwa rasmi leo,[Picha na Ikulu.]




No comments:
Post a Comment