
Mganga huyo baada ya kufumaniwa.
Na Victor Bariety, Geita MWANAUME mmoja mkazi wa mtaa wa Mkoani kata mpya ya Bombambili wilayani Geita, mkoani Geita ambaye ni mganga wa kutibu mifupa ya binadamu iliyovunjika, amenusurika kifo baada ya kufumaniwa akidaiwa kufanya mapenzi na mke wa mtu.
No comments:
Post a Comment