KITUKO! Mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds,
Loveness Malinzi ‘Diva’ na Video Queen maarufu Bongo Agness Jerald
‘Masongange’ wamejikuta wakiingia katika ugomvi, kisa kikiwa ni msanii
wa muziki wa Nigeria, Davido.

Masogange alionesha kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram meseji alizokuwa akimtumia mwanamuziki huyo, akishangazwa na dhamira ya swali hilo.“Inawezekana Diva anatafuta kiki kupitia jina langu, maana kila mtu anagombana naye, sasa huyo ni mtu wa aina gani jamani,” alisema Diva.
Diva,
mmoja kati ya wanahabari wenye jina kubwa, alitafutwa kupitia simu yake
ya kiganjani, lakini kwa muda mwingi iliita bila kupokelewa.

Video Queen maarufu Bongo Agness Jerald ‘Masongange’.
Akizungumza na gazeti hili, Masogange
alimlaumu Diva, kwa kitendo chake cha kuandika katika ukurasa wake
kwenye mtandao wa Instagram kuwa alizungumza na Davido ambaye alikana
kuwa na uhusiano na msichana yeyote kutoka Tanzania.
“Kinachonishangaza kwanini Diva afikie hatua ya kumpigia mpaka Davido
kumuuliza kuhusu uhusiano wangu na mwanamuziki huyo, kitu ambacho
kimeshangaza hata msanii mwenyewe,”alisema Masogange.Masogange alionesha kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram meseji alizokuwa akimtumia mwanamuziki huyo, akishangazwa na dhamira ya swali hilo.“Inawezekana Diva anatafuta kiki kupitia jina langu, maana kila mtu anagombana naye, sasa huyo ni mtu wa aina gani jamani,” alisema Diva.
Diva,
mmoja kati ya wanahabari wenye jina kubwa, alitafutwa kupitia simu yake
ya kiganjani, lakini kwa muda mwingi iliita bila kupokelewa.

No comments:
Post a Comment