Bila kujali macho na maneno ya watu,
nyota huyo mwenye mtoto mmoja alitinga katika hafla hiyo iliyokwenda kwa
jina la One Lagos Concert iliyofanyika eneo la Ikorodu akiwa
‘ng’aring’ari’ katika gauni lililoshonwa kutokana na vipande vya
magunia.
Katika ukurasa wake wa Instragram amekuwa akiwauliza mashabiki wake
iwapo wanakubaliana au kupinga gauni hilo, majibu yao yamekuwa ni mengi
mno – ya wale wanaokubaliana na kivazi hicho na wale wanaokipinga

No comments:
Post a Comment